Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex
Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex Kama tulivyokwisha ona umuhimu wa kuwa na ujuzi wa kutosha kabla hujaanza rasmi ku trade Forex kwa kutumia real account, ni muhimu kuanza na practice account ambayo itakuwezesha kufahamu trend ya soko, na taratibu mbali mbali za ku trade Forex. Forex Demo Account ni nini? Forex…
Read More “Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex” »