Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Jinsi ya kufungua account Skrill

Posted on May 19, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kufungua account Skrill

Skrill ni huduma nzuri sana ya pesa ambayo watu wengi wa Forex hupenda kuitumia na huduma hii ni mbadala mzuri kwa PayPal.

Skrill Tanzania - Skrill Kenya

Waweza tumia Skrill kutuma na kupokea pesa kwa watu mbali mbali duniani, na kufanya malipo mbali mbali pamoja na ku deposit pesa kwenye account ya Forex ambapo brokers mbali mbali hutumia njia hii ya Skrill.

Kujiunga na huduma hii nzuri ya Skrill, bofya kitufe hiki hapa chini:

Kwa wale waliopo Kenya, kuna njia ya moja kwa moja ya kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda M-Pesa na kwa walio Tanzania, pia kuna njia ambayo waweza itumia kuhamisha pesa kutoka Skrill na kuhakikisha imeingia M-Pesa. Soma post ifuatayo kujua namna ya kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda M-Pesa Tanzania.

Jinsi ya kuhamisha Pesa kutoka Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Endelea kuwa pamoja nasi katika mafunzo haya ya mbinu mbali mbali za kufanya biashara ya forex kwa mafanikio.

Related Articles

M-Pesa, Skrill, Skrill Tanzania

Post navigation

Previous Post: Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex
Next Post: Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Leave a ReplyCancel reply

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levelsJifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levelsJuly 16, 2019Admin
Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zonesJifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zonesJuly 16, 2019Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved