Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Category: Skrill Tanzania

Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Posted on May 19, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania
Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Katika post hii tutaona njia unayoweza kuitumia kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda M-Pesa Tanzania. Skrill ni moja kati ya huduma nzuri kabisa za kutuma, kupokea pesa na kufanya malipo mtandaoni. Kama bado hujajiunga na huduma hii, bofya kitufe kifuatacho kufungua account Skrill. FUNGUA ACCOUNT SKRILL  Au waweza soma post hii kuhusu jinsi ya kufungua account…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania” »

M-Pesa, Skrill, Skrill Tanzania, TemplerFx

Jinsi ya kufungua account Skrill

Posted on May 19, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kufungua account Skrill
Jinsi ya kufungua account Skrill

Skrill ni huduma nzuri sana ya pesa ambayo watu wengi wa Forex hupenda kuitumia na huduma hii ni mbadala mzuri kwa PayPal. Waweza tumia Skrill kutuma na kupokea pesa kwa watu mbali mbali duniani, na kufanya malipo mbali mbali pamoja na ku deposit pesa kwenye account ya Forex ambapo brokers mbali mbali hutumia njia hii…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kufungua account Skrill” »

M-Pesa, Skrill, Skrill Tanzania

Jinsi ya kuweka hela Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka hela Forex

Baada ya kufahamu jinsi ya kutumia M Pesa kuweka hela kwenye account yako ya Forex chini ya broker maarufu East Africa anayefahamika kwa jina la TemplerFX sasa ni wakati wa kujifunza hatua kwa hatua ni namna gani unaweza ukaweka hela kwenye account yako ya Forex. Jinsi ya kuweka hela Forex Zipo namna nyingi za kuweka…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kuweka hela Forex” »

Deposit, M-Pesa, Mastercard, Safaricom, Skrill Tanzania, TemplerFx, Visa

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa ForexJinsi ya kuchagua broker mzuri wa ForexApril 6, 2020Admin
Vitabu vya ForexMay 23, 2022Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved