Skip to content
Biashara ya Forex

BIASHARA YA FOREX

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Mobile App
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Contact Us
  • Toggle search form

Category: TemplerFx

Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Posted on October 5, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4
Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Karibu tena tuendelee kupeana elimu kuhusu mambo mbali mbali yahusuyo biashara ya Forex. Leo tutaenda kuangalia jinsi ya kuweka na kufunga order kwa kutumia programu ya Meta Trader 4 au kwa kifupi MT4 kama ilivyozoeleka. Kama ambavyo tulisoma kwenye makala ihusuyo jinsi ya kutumia MT4 inayopatikana  >> HAPA << leo tutajifunza juu ya namna ya…

Read More “Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4” »

Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Meta Trader 4, TemplerFx

Jinsi ya ku-verify account yako ya Templerfx (Full Verification)

Posted on June 19, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya ku-verify account yako ya Templerfx (Full Verification)
Jinsi ya ku-verify account yako ya Templerfx (Full Verification)

Ni matumaini yangu kwamba unaendelea vyema na safari yako ya mafanikio kupitia biashara ya Forex. Leo tutaenda kuangalia ni namna gani ya kuweza kupata full verification templerfx account, ambayo itakuwezesha kufanya mambo mbali mbali kwa uwepesi ikiwepo kuwa na njia nyingi zaidi za ku deposit na ku withdraw pamoja na kuwa na uwezo wa kuomba…

Read More “Jinsi ya ku-verify account yako ya Templerfx (Full Verification)” »

Bonus, TemplerFx, Verification

Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Posted on May 19, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania
Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Katika post hii tutaona njia unayoweza kuitumia kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda M-Pesa Tanzania. Skrill ni moja kati ya huduma nzuri kabisa za kutuma, kupokea pesa na kufanya malipo mtandaoni. Kama bado hujajiunga na huduma hii, bofya kitufe kifuatacho kufungua account Skrill. FUNGUA ACCOUNT SKRILL  Au waweza soma post hii kuhusu jinsi ya kufungua account…

Read More “Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania” »

M-Pesa, Skrill, Skrill Tanzania, TemplerFx

Jinsi ya kuweka hela Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka hela Forex

Baada ya kufahamu jinsi ya kutumia M Pesa kuweka hela kwenye account yako ya Forex chini ya broker maarufu East Africa anayefahamika kwa jina la TemplerFX sasa ni wakati wa kujifunza hatua kwa hatua ni namna gani unaweza ukaweka hela kwenye account yako ya Forex. Jinsi ya kuweka hela Forex Zipo namna nyingi za kuweka…

Read More “Jinsi ya kuweka hela Forex” »

Deposit, M-Pesa, Mastercard, Safaricom, Skrill Tanzania, TemplerFx, Visa

Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex

NOTE: Huduma ya ku deposit na ku withdraw kwa kutumia M-Pesa Tanzania kupitia Broker TemplerFx kwa sasa imesitishwa hadi hapo iPay na Vodacom watakapokamilisha taratibu zilizowekwa na BOT. Huduma hii inaendelea kupatikana kupitia Safaricom M-Pesa Kenya ambapo waweza ku deposit au ku withdraw kwa kuchagua M-Pesa Kenya. Kama bado huna account ya Forex kupitia TemplerFx,…

Read More “Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex” »

Forex, M-Pesa, TemplerFx

Archives

  • November 2021
  • April 2020
  • February 2020
  • January 2020
  • October 2019
  • September 2019
  • July 2019
  • June 2019
  • May 2019
  • February 2019
  • January 2019

Categories

  • AirTel Money
  • Beginner
  • Best Forex Brokers in Kenya
  • Best Forex Brokers in Tanzania
  • Biashara ya Forex
  • Binary Options
  • Bonus
  • Brokers
  • Capital
  • Demo
  • Demo Account
  • Deposit
  • Education
  • Exness
  • Exness Tanzania
  • Forex
  • Forex kwa kiswahili
  • Forex ni nini
  • Forex Regulators
  • Free 30 USD
  • Jifunze Forex
  • Kenya
  • M-Pesa
  • M-Pesa Kenya
  • Mastercard
  • Meta Trader 4
  • Meta Trader 5
  • No Deposit Bonus
  • Real Account
  • Regulated Brokers
  • Risk Management
  • Safaricom
  • Safaricom M-Pesa
  • Skrill
  • Skrill Tanzania
  • Support and Resistance
  • Tanzania
  • Technical Analysis
  • TemplerFx
  • TickMill
  • TigoPesa
  • Verification
  • Visa
  • Vodacom M-Pesa
  • Volatility Index

Recent Posts

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa kupitia mitandao ya simu kama Mpesa na tigopesa
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Recent Comments

No comments to show.
Copyright © 2022 - All Rights Reserved