Skip to content
Biashara ya Forex

BIASHARA YA FOREX

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Mobile App
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Contact Us
  • Toggle search form

Category: Jifunze Forex

Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Posted on October 5, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4
Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Karibu tena tuendelee kupeana elimu kuhusu mambo mbali mbali yahusuyo biashara ya Forex. Leo tutaenda kuangalia jinsi ya kuweka na kufunga order kwa kutumia programu ya Meta Trader 4 au kwa kifupi MT4 kama ilivyozoeleka. Kama ambavyo tulisoma kwenye makala ihusuyo jinsi ya kutumia MT4 inayopatikana  >> HAPA << leo tutajifunza juu ya namna ya…

Read More “Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4” »

Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Meta Trader 4, TemplerFx

Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji

Posted on July 20, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji
Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji

Wapo watu wengi wanatamani kuanza biashara hii ya Forex lakini wengi wamekua na kikwazo kwenye mtaji wa kuanzia  biashara hii kubwa duniani.Habari njema ni kwamba, wapo baadhi ya brokers ambao wanakupatia kianzio cha bure kabisa ambacho kitakuwezesha kupata pesa ya bure kabisa kuanza biashara hii ya Forex, na kwa bahati nzuri, hapa kwetu Tanzania yupo…

Read More “Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji” »

Biashara ya Forex, Free 30 USD, Jifunze Forex, No Deposit Bonus

Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels

Posted on July 16, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels
Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels

Support and Resistance Hii ni moja kati ya strategy za awali kabisa katika forex na walimu wengi huwa wanaifundishaga but sisi wanafunzi wengi huwa tukishaanza kujua vitu vingine vya mbele kama trendline na vinginevyo basi huwa tunaipuuza hii strategy, ila kiuhalisia hii ndio strategy mama, nkisema strategy mama namaanisha strategy nyingi za forex zimeanzia hapa….

Read More “Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels” »

Education, Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Support and Resistance

Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones

Posted on July 16, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones
Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones

Supply na demand hizi ni kanda au zone ambazo zinapatikana katika chart ya forex, hizi zone huwa ndio zinazozingatiwa sana na matrader wote wa aina tatu, ambao ni seller buyer na institutions, ambao seller na buyer kwa neno moja tunawaita retailer yani wafanya biashara wadogo wadogo na hao walio kwenye taasisi mbali mbali ambazo zinajihusisha…

Read More “Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones” »

Education, Forex, Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Technical Analysis

Forex ni nini?

Posted on January 31, 2019 By Admin No Comments on Forex ni nini?

FOREX ni biashara ya ubadilishaji wa fedha za kigeni ambayo imeonekana kuwa na mzunguko mkubwa zaidi kuliko biashara yoyote dunianini kwani inazungusha zaidi ya dolla za kimarekani trillion 5 kwa siku. Mtu yoyote anaweza kujifunza biashara ya forex, na kuwa Forex trader mwenye mafanikio. Ili kuwa Forex trader, ni lazima uwe na account ya Forex…

Read More “Forex ni nini?” »

Forex, Forex ni nini, Jifunze Forex

Archives

  • November 2021
  • April 2020
  • February 2020
  • January 2020
  • October 2019
  • September 2019
  • July 2019
  • June 2019
  • May 2019
  • February 2019
  • January 2019

Categories

  • AirTel Money
  • Beginner
  • Best Forex Brokers in Kenya
  • Best Forex Brokers in Tanzania
  • Biashara ya Forex
  • Binary Options
  • Bonus
  • Brokers
  • Capital
  • Demo
  • Demo Account
  • Deposit
  • Education
  • Exness
  • Exness Tanzania
  • Forex
  • Forex kwa kiswahili
  • Forex ni nini
  • Forex Regulators
  • Free 30 USD
  • Jifunze Forex
  • Kenya
  • M-Pesa
  • M-Pesa Kenya
  • Mastercard
  • Meta Trader 4
  • Meta Trader 5
  • No Deposit Bonus
  • Real Account
  • Regulated Brokers
  • Risk Management
  • Safaricom
  • Safaricom M-Pesa
  • Skrill
  • Skrill Tanzania
  • Support and Resistance
  • Tanzania
  • Technical Analysis
  • TemplerFx
  • TickMill
  • TigoPesa
  • Verification
  • Visa
  • Vodacom M-Pesa
  • Volatility Index

Recent Posts

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa kupitia mitandao ya simu kama Mpesa na tigopesa
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Recent Comments

No comments to show.
Copyright © 2022 - All Rights Reserved