Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex

Forex ni moja kati ya biashara kubwa zaidi duniani yenye mzunguko wa zaidi ya dola za kimarekani trillion 5 kwa siku.

Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex

Kama kawaida, biashara yoyote kubwa, inavutia watu wengi kujiunga nayo. Miongoni mwa taasisi muhimu kabisa katika kukuwezesha kufanya biashara ya Forex, ni broker ambaye atakuwezesha  kusimamia zoezi lote la kuuza na kununua fedha za kigeni.
Kwa nchi zetu za Afrika Mashariki, tumekua na kawaida ya kuwa na brokers ambao wamekuwa wakija na kuondoka, ni jukumu letu kukufahamisha ni broker yupi waweza kumuamini na kuanza naye biashara ya Forex pasi kuwa na mashaka na suala zima la deposit na withdraw.

Kama ungependa kuanza biashara hii kwa broker mkongwe Tanzania na Kenya, ambaye anakuwezesha kufanya deposit kwa urahisi kwa kutumia Agents, basi bofya kitufe kifuatacho:

FUNGUA ACCOUNT TEMPLER FX

Kisha fuata maelekezo utakayoulizwa kujiunga.

Kwa lugha nyepesi kabisa, Forex broker ni taasisi inayosimama katikati ya mfanya biashara ya Forex (yaani wewe) na masoko ya Forex (Kwa mfano New York Stock Exchange), inayomwezesha mfanya biashara ya Forex, kuweka order za kuuza au kununua fedha za kigeni.

Kuna hatua kadha wa kadha ambazo unapaswa kuzifuata ili kuweza kumpata broker bora kabisa atakayeweza kukusaidia kufikia mafanikio katika biashara ya Forex.

Hatua hii ya kumpata broker bora ni muhimu sana kwa maana wapo watu ambao wametapeliwa baada ya kujihusisha na broker ambao sio waaminifu waliokuja kufunga biashara ghafla bila taarifa.

Zifuatazo ni sifa za broker bora wa Forex.

1. Awe amesajiliwa katika nchi husika, na anuani inayofahamika (public known address)

2. Awe anatambuliwa na mamlaka za usimamizi wa masoko ya mitaji za nchi mbali mbali (REGULATED)

Zifuatazo ni baadhi ya mamlaka maarufu zaidi za ku regulate brokers wa Forex:

ASIC – Australian Securities and Investments Commission.
BaFIN – The Bundesanstalt für Finanzdienstleistungsaufsicht (Germany)
CFTC – Commodities and Futures Trading Commission (United States)
CySec – Cyprus Securities and Exchange Commission.
FCA – Financial Conduct Authority (United Kingdom)
FSB – Financial Services Board (South Africa)
FSC – Financial Services Commission (Mauritius)

FOREX REGULATORS
Regulators Maarufu wa Forex

Kwa kawaida kila nchi inayo mamlaka husika inayo regulate masoko ya mitaji, na mamlaka hizi zinatofautiana umaarufu kati ya nchi na nchi.

3. Kipengele cha tatu ambacho ni muhimu, ni huduma zitolewazo na broker huyo, hapa inajumuisha kuwa na spread ndogo, aina ya bidhaa zitolewazo (forex, cfds, commodities etc), huduma kama copy trading, njia za kuweka na kutoa fedha (deposit and withdraw) etc

4. Na kipengele cha mwisho ambacho ni muhimu sana, ni reputation binafsi (sifa) kutoka kwa watu ambao tayari wamekwisha ku trade na broker husika. Kipengele hichi ni muhimu sana kwani kitakusaidia kufahamu mambo mengi yamhusuyo broker husika, na taarifa kuhusu broker huyo unaweza ukazipata kwa ku search changamoto mbali mbali ambazo wanakutana nazo traders wanaomtumia, au kwenye kwenye website inayoitwa FOREX PEACE ARMY kwa kifupi FPA, kwenye website hii, utakuta kila broker amezungumziwa, malalamiko ya watumiaji, na rating kwa ujumla ya broker husika.

Baada ya kufahamu sifa muhimu za kuzingatia unapochagua broker, ifuatayo ni orodha ya brokers  watano, bora zaidi ambao wana-operate Kenya na Tanzania ambao tumejiridhisha kuhusu sifa zao, pamoja na regulation status zao.

1. EXNESS FOREX

Broker namba moja ambaye tunam-recommend kwa traders walio wengi ni Exness, broker huyu ni broker mkubwa duniani, anayesifika kwa kuwa na uwazi katika uendeshaji wake, ambaye yupo regulated na taasisi mbali mbali kubwa duniani, pamoja na kuwa na huduma bora kabisa ambazo hutazipata kwa brokers wengine kwa mfano COPY TRADING, Fund Transfer pamoja na kuwa na spread ndogo zaidi kuliko wengine. Kuanza ku trade na broker huyu, bofya kitufe kifuatacho kujiunga:

FUNGUA ACCOUNT EXNESS

Ukishatengeneza account yako, utafuata taratibu zote za kuhakikisha account yako inakua verified na kuanza kufaidi huduma bora kutoka kwa broker huyu.

2. TEMPLER FX

Broker mwingine tunayem recommend ni TemplerFx, huyu ni miongoni mwa ma broker wakongwe kabisa kwenye ukanda wetu huu wa Afrika Mashariki,ambaye amejitahidi kujijengea heshima na kuweza kuvutia traders wengi zaidi kuliko broker mwingine. Broker huyu anakuwezesha ku deposit hata dola 5, lakini pia ni moja kati ya brokers wenye huduma ya haraka zaidi ya ku withdraw pesa zako bila shida yoyote.
Broker huyu sio maarufu sana kwa nchi zilizo nyingi duniani, lakini ni broker anayeongoza kwa kuwa na watumiaji Africa Mashariki. Moja kati ya huduma bora kabisa ya broker huyu, ni huduma yake ya instant withdraw, yaani kutoa pesa yako papo kwa papo kwa kutumia huduma za simu kama M-Pesa na Airtel kwa kupitia mawakala bofya kitufe kifuatacho

FUNGUA ACCOUNT TEMPLER FX

Baada ya kutengeneza account, hakikisha unafuata vipengele vitavyofuata katika ku verify account yako.

3. HOTFOREX

Broker mwingine tunayem-recommend kwa traders walio wengi ni HotForex, broker huyu ni moja kati ya broker mkubwa duniani, anayesifika kwa kuwa na uwazi katika uendeshaji wake, ambaye yupo regulated na taasisi mbali mbali kubwa duniani, pamoja na kuwa na huduma bora kabisa ambazo hutazipata kwa brokers wengine kwa mfano COPY TRADING, PAMM account na pamoja na kuwa na spread ndogo zaidi kuliko wengine. Kuanza ku trade na broker huyu, bofya kitufe kifuatacho kujiunga::

FUNGUA ACCOUNT HOTFOREX

Baada ya kufanikiwa kujisajiri, utatakiwa kwenda kwenye menu ya verification, na kuanza process ya kuverify taarifa zako.

4. BINARY.COM

Kwa wale wanaopenda kutrade Binary Options, au Volatility Index, basi hapana shaka kwamba broker maarufu na anayetumika zaidi duniani ni broker huyu wa binary. kutengeneza accout yako na kuanza kufurahia huduma bora za Volatility Index, bofya kitufe kifuatacho:

FUNGUA ACCOUNT BINARY

Uzuri wa broker huyu, kutengeneza account na kuanza ku trade ni rahisi sana kuliko brokers walio wengi.

5. TICKMILL

Huyu ni broker mwingine anaye toa huduma Kenya na Tanzania na anasifika kwa kuwa na account za Pro na VIP ambazo zinakupa huduma nzuri za fast execution pamoja na tight spread. Kutengeneza account tickmill bofya kitufe kifuatacho:

FUNGUA ACCOUNT TICKMILL

Baada ya kufungua account yako, utatakiwa kuanza kufanya verification kwa ku verify namba ya simu, email, utambulisho wako pamoja na makazi yako.

You may also like...

Leave a Reply