Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu

Posted on November 29, 2021April 20, 2024 By Admin No Comments on Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu

Njia ya kuweka na kutoa ni moja kati ya vigezo vikubwa ambavyo trader yoyote wa forex huvizingatia pale anapofanya maamuzi ya kuanza kujiunga na broker fulani. Urahisi wa kuweka na kutoa ni kigezo kikubwa ambacho kila mmoja hukiangalia, ni mara nyingi tumeshuhudia brokers wengi wakiwasumbua wateja wao wakati wa kutoa pesa zao. Kwenye post hii,…

Read More “Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu” »

AirTel Money, Best Forex Brokers in Kenya, Best Forex Brokers in Tanzania, Biashara ya Forex, Exness, Exness Tanzania, M-Pesa, TigoPesa

Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex

Posted on April 6, 2020May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex

Forex ni moja kati ya biashara kubwa zaidi duniani yenye mzunguko wa zaidi ya dola za kimarekani trillion 5 kwa siku. Kama kawaida, biashara yoyote kubwa, inavutia watu wengi kujiunga nayo. Miongoni mwa taasisi muhimu kabisa katika kukuwezesha kufanya biashara ya Forex, ni broker ambaye atakuwezesha  kusimamia zoezi lote la kuuza na kununua fedha za…

Read More “Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex” »

Best Forex Brokers in Kenya, Best Forex Brokers in Tanzania, Forex Regulators, Regulated Brokers

Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary

Posted on February 12, 2020May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary

Kwa wale wapenzi wa Forex, moja kati ya trades zenye faida kubwa ambazo ni rahisi kuzifuatilia kwa sababu haziathiriwi na fundamentals basi ni Volatility Index au kwa kifupi VIX. Unaweza uka trade Volatility Index kwa kutumia broker maarufu zaidi kwa binary options yaani Binary Kama bado huna account ya Binary, huu ni muda muafaka wa…

Read More “Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary” »

Binary Options, Meta Trader 5, Volatility Index

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Posted on January 7, 2020May 26, 2022 By Admin 1 Comment on Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo. Fuata mtiririko ufuatao kufahamu jinsi ya kutuma pesa kutoka M-Pesa Kenya kwenda M-Pesa Tanzania Kwenye simu yako, fungua application ya ku manage SIM CARD (Sim Toolkit)…

Read More “Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania” »

Kenya, Safaricom M-Pesa, Tanzania, Vodacom M-Pesa

Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Posted on January 6, 2020May 26, 2022 By Admin 1 Comment on Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Iwapo una laini ya Safaricom na unatumia huduma ya M-Pesa Kenya, na unataka ku deposit pesa kwenye account yako ya TemplerFx, fuata mtiririko huu ili kufahamu jinsi ya ku deposit kiasi cha pesa upendacho. Kama bado huna account ya Forex kupitia TemplerFx, bofya kitufe kifuatacho kujiunga: BOFYA HAPA KUFUNGUA ACCOUNT Jambo la kwanza ni kuhakikisha…

Read More “Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa” »

Kenya, M-Pesa, M-Pesa Kenya, Safaricom, Safaricom M-Pesa

Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Posted on October 5, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4
Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Karibu tena tuendelee kupeana elimu kuhusu mambo mbali mbali yahusuyo biashara ya Forex. Leo tutaenda kuangalia jinsi ya kuweka na kufunga order kwa kutumia programu ya Meta Trader 4 au kwa kifupi MT4 kama ilivyozoeleka. Kama ambavyo tulisoma kwenye makala ihusuyo jinsi ya kutumia MT4 inayopatikana  >> HAPA << leo tutajifunza juu ya namna ya…

Read More “Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4” »

Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Meta Trader 4, TemplerFx

Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker

Posted on September 11, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker
Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker

Forex imeendelea kuwa biashara yenye mzunguko mkubwa wa fedha kuliko biashara nyingine zozote duniani. Kwa bahati nzuri biashara hii haina mipaka baina ya nchi na nchi na mtu yoyote anaweza kujifunza na kuanza biashara ya Forex na kuweza kutimiza ndoto zake kwa kuishi maisha yenye uhuru wa kiuchumi. Ingawa ukweli ni kwamba, Forex sio biashara…

Read More “Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker” »

Free 30 USD, M-Pesa, TickMill

Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji

Posted on July 20, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji
Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji

Wapo watu wengi wanatamani kuanza biashara hii ya Forex lakini wengi wamekua na kikwazo kwenye mtaji wa kuanzia  biashara hii kubwa duniani.Habari njema ni kwamba, wapo baadhi ya brokers ambao wanakupatia kianzio cha bure kabisa ambacho kitakuwezesha kupata pesa ya bure kabisa kuanza biashara hii ya Forex, na kwa bahati nzuri, hapa kwetu Tanzania yupo…

Read More “Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji” »

Biashara ya Forex, Free 30 USD, Jifunze Forex, No Deposit Bonus

Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels

Posted on July 16, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels
Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels

Support and Resistance Hii ni moja kati ya strategy za awali kabisa katika forex na walimu wengi huwa wanaifundishaga but sisi wanafunzi wengi huwa tukishaanza kujua vitu vingine vya mbele kama trendline na vinginevyo basi huwa tunaipuuza hii strategy, ila kiuhalisia hii ndio strategy mama, nkisema strategy mama namaanisha strategy nyingi za forex zimeanzia hapa….

Read More “Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels” »

Education, Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Support and Resistance

Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones

Posted on July 16, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones
Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones

Supply na demand hizi ni kanda au zone ambazo zinapatikana katika chart ya forex, hizi zone huwa ndio zinazozingatiwa sana na matrader wote wa aina tatu, ambao ni seller buyer na institutions, ambao seller na buyer kwa neno moja tunawaita retailer yani wafanya biashara wadogo wadogo na hao walio kwenye taasisi mbali mbali ambazo zinajihusisha…

Read More “Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua supply and demand zones” »

Education, Forex, Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Technical Analysis

Posts pagination

1 2 3 Next

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Forex ni nini?January 31, 2019Admin
Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4October 5, 2019Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved