Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa kupitia mitandao ya simu kama Mpesa na tigopesa
Njia ya kuweka na kutoa ni moja kati ya vigezo vikubwa ambavyo trader yoyote wa forex huvizingatia pale anapofanya maamuzi ya kuanza kujiunga na broker fulani. Urahisi wa kuweka na kutoa ni kigezo kikubwa ambacho kila mmoja hukiangalia, ni mara nyingi tumeshuhudia brokers wengi wakiwasumbua wateja wao wakati wa kutoa pesa zao. Kwenye post hii,…