Skip to content
Biashara ya Forex

BIASHARA YA FOREX

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Mobile App
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Contact Us
  • Toggle search form

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Posted on January 7, 2020May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Kutokana na ongezeko la watumiaji wa Safaricom M-Pesa wanaohitaji kutuma pesa kwenda Vodacom M-Pesa Tanzania, nimeamua kuandika makala hii ili kuwasaidia wale ambao hawafahamu jinsi ya kufanya muamala huo.

Tuma pesa kutoka Kenya kwenda Tanzania

Fuata mtiririko ufuatao kufahamu jinsi ya kutuma pesa kutoka M-Pesa Kenya kwenda M-Pesa Tanzania

  1. Kwenye simu yako, fungua application ya ku manage SIM CARD (Sim Toolkit)
  2. Chagua Safaricom kisha fungua M-Pesa
  3. Chagua “LIPA NA MPESA”
  4. Chagua Pay Bill kisha weka namba ya biashara yaani Business Number ambayo ni 255255
  5. Sehemu ya kuweka “Account Number” weka namba ya simu ya Tanzania kwa kuanza na code ya Tanzania pekee bila + yaani 2557XXXXXXXX
  6. Andika kiwango unachotaka kutuma katika Kenyan Shillings KES.
  7. Ingiza namba yako ya siri ya M-Pesa halafu kubali muamala.

Baada ya kukamilisha mtiririko huo, utaulizwa kama unataka kuzuia muamala, uandike herufi yoyote ndani ya sekunde 25, usiandike chochote, acha kama palivyo au waweza bofya CANCEL, baada ya hapo utaambiwa “Thanks for using M-Pesa” na kiwango ulichotuma kitatumwa moja kwa moja kwenye namba uliyotuma Tanzania.

NJIA MBADALA
Iwapo upo Tanzania, na ungependa kutoa pesa moja kwa moja kutoka kwenye laini yako ya Safaricom bila kuituma Vodacom kwanza, unachopaswa kufanya ni ku bofya namba ya M-Pesa ya Safaricom ambayo ni *840#. 

Kama ndio mara yako ya kwanza kubofya namba hiyo, utaambiwa uandike eneo ulilopo, utaandika eneo lolote ulilopo kwa Mfano, Dodoma, au Arusha.

Baada ya kufanikiwa kuhifadhi eneo ulikopo, utabofya tena *840# na utachagua ROAMING PICK UP, hapo sasa utaweka nambaya wakala wa M-Pesa unapotaka kuchukua pesa yako na utaendelea kufuata maelekezo kama kawaida, kwenye njia hii ya pili, badala ya kuweka kiwango kwenye Shilingi za Kenya, unaweka katika Shilingi za Tanzania.

Endelea kuwa pamoja nasi kufurahia elimu tunayoitoa kupitia blog hii ya Biashara ya Forex.

Related

Kenya, Safaricom M-Pesa, Tanzania, Vodacom M-Pesa

Post navigation

Previous Post: Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Next Post: Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary

Leave a Reply Cancel reply

Archives

  • November 2021
  • April 2020
  • February 2020
  • January 2020
  • October 2019
  • September 2019
  • July 2019
  • June 2019
  • May 2019
  • February 2019
  • January 2019

Categories

  • AirTel Money
  • Beginner
  • Best Forex Brokers in Kenya
  • Best Forex Brokers in Tanzania
  • Biashara ya Forex
  • Binary Options
  • Bonus
  • Brokers
  • Capital
  • Demo
  • Demo Account
  • Deposit
  • Education
  • Exness
  • Exness Tanzania
  • Forex
  • Forex kwa kiswahili
  • Forex ni nini
  • Forex Regulators
  • Free 30 USD
  • Jifunze Forex
  • Kenya
  • M-Pesa
  • M-Pesa Kenya
  • Mastercard
  • Meta Trader 4
  • Meta Trader 5
  • No Deposit Bonus
  • Real Account
  • Regulated Brokers
  • Risk Management
  • Safaricom
  • Safaricom M-Pesa
  • Skrill
  • Skrill Tanzania
  • Support and Resistance
  • Tanzania
  • Technical Analysis
  • TemplerFx
  • TickMill
  • TigoPesa
  • Verification
  • Visa
  • Vodacom M-Pesa
  • Volatility Index

Recent Posts

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa kupitia mitandao ya simu kama Mpesa na tigopesa
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Recent Comments

No comments to show.
Copyright © 2022 - All Rights Reserved