Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Category: Beginner

Namna ya kufanya biashara ya Forex

Posted on June 21, 2019April 20, 2024 By Admin No Comments on Namna ya kufanya biashara ya Forex
Namna ya kufanya biashara ya Forex

Karibu katika site yetu hii ambapo kama kawaida tunaendelea na mfululizo wa masomo mbali mbali kuhusu namna bora ya kufanya biashara ya Forex kwa faida. Tukumbuke kwamba biashara ya Forex ndio biashara kubwa kuliko zote duniani ambayo ina mzunguko wa zaidi ya trillion 5 za kimarekani kwa siku. Iwapo utafanya maamuzi sahihi, na kuamua kujifunza…

SOMA ZAIDI “Namna ya kufanya biashara ya Forex” »

Beginner, Demo, Forex, Meta Trader 4

Mbinu kuzuia hasara kwenye biashara ya Forex

Posted on June 11, 2019April 20, 2024 By Admin No Comments on Mbinu kuzuia hasara kwenye biashara ya Forex
Mbinu kuzuia hasara kwenye biashara ya Forex

Iwapo ndio kwanza umeanza biashara ya Forex, au tayari ni trader mzoefu wa Forex, jambo la msingi kabisa ambalo unapaswa kuzingatia muda wote unapofanya biashara hii ni namna ya kuhakikisha kwamba pesa yako inabaki salama kwa kuzingatia mbinu mbali mbali zenye lengo la kuhakikisha unaepukana na uwezekano wa kuunguza account yako au kufunga positions zako…

SOMA ZAIDI “Mbinu kuzuia hasara kwenye biashara ya Forex” »

Beginner, Forex, Risk Management

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuBroker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuNovember 29, 2021Admin
Maswali na Majibu kuhusu Biashara ya Forex - HelpMay 23, 2022Admin
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved