Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji

Posted on July 20, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtaji

Wapo watu wengi wanatamani kuanza biashara hii ya Forex lakini wengi wamekua na kikwazo kwenye mtaji wa kuanzia  biashara hii kubwa duniani.
Habari njema ni kwamba, wapo baadhi ya brokers ambao wanakupatia kianzio cha bure kabisa ambacho kitakuwezesha kupata pesa ya bure kabisa kuanza biashara hii ya Forex, na kwa bahati nzuri, hapa kwetu Tanzania yupo broker ambaye atakupatia bure kabisa dola 30, ambayo inaitwa NO DEPOSIT BONUS, utakachopaswa kufanya ni kuanza kukuza kiwango hicho hadi kufikia dola 100 na utakuwa na uwezo wa kui withdraw.

Free 30 USD Templer Forex

Ili kuweza kupata kianzio hichi cha bure cha dola 30, jiunge na Forex kwa broker wa templer kwa kufuata kitufe kifuatacho:

Ukishatengeneza account yako ya Forex, fuata hatua zifuazo ili ku-request dola 30 za bure:

  • Login kwenye dashboard yako ya Templer Fx
  • Ukisha login, kwenye menu kuu iliyopo upande wa kushoto chagua BONUS
  • Click request NBD 30$ ambapo utapatiwa login id, pamoja na password ya kulogin kwenye mt4
No deposit bonus templerfx

Tayari utakua umeshapata dola 30 za bure kabisa zinazokuwezesha ku trade Forex.

Zifuatazo ni sheria na taratibu za kukuwezesha ku withdraw faida utakayoipata baada ya ku trade kwa NDB.

  • Unatakiwa u trade hizo dola 30 ulizopatiwa, hadi zifike dola 100 ndani ya mwezi mmoja na iwapo utashindwa kufikisha dola 100 ndani ya huo mwezi mmoja, utakua umeshindwa kutimiza vigezo vya No Deposit Bonus.
  • Ndani ya huo mwezi mmoja ambao utapaswa kufikisha dola 100, total lot size/volume inatakiwa isipungue 5 yaani kwa mfano kama una trade kwa lot size ya 0.05, basi kwa ujumla uwe ume fungua na kufunga jumla ya trades 100 ndani ya huo mwezi mzima yaani 5 gawa kwa 0.05
  • Jumla ya positions zinazo run kwa wakati mmoja, zisizidi volume ya 0.3, kwa mfano kama una trade kwa 0.1, basi zitahesabiwa maximum positions 3 ambazo jumla ndio inakua 0.3

Iwapo umefanikiwa kutimiza vigezo vyote hivyo, utapaswa account yako iwe imekua full verified, yaani email, identification, number ya simu na card, then utatuma email au uta chat na mtu wa support aliye online muda wote, ili kuweza ku withdraw amount uliyotengeneza ya dola 100. Kumbuka kwamba, amount utakayopewa kutokana na ku trade No Deposit Bonus ni dola 100 pekee, na utakua na uhuru wa kuamua either kuzi withdraw kabisa, au kuendelea kuzi trade kama mtaji wako mpya. 

Related Articles

Biashara ya Forex, Free 30 USD, Jifunze Forex, No Deposit Bonus

Post navigation

Previous Post: Jifunze Forex: Jinsi ya kutambua support and resistance levels
Next Post: Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker

Leave a ReplyCancel reply

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuBroker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuNovember 29, 2021Admin
Maswali na Majibu kuhusu Biashara ya Forex - HelpMay 23, 2022Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved