Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Posted on January 6, 2020June 7, 2025 By Admin 1 Comment on Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Iwapo una laini ya Safaricom na unatumia huduma ya M-Pesa Kenya, na unataka ku deposit pesa kwenye account yako ya TemplerFx, fuata mtiririko huu ili kufahamu jinsi ya ku deposit kiasi cha pesa upendacho.

Kama bado huna account ya Forex kupitia TemplerFx, bofya kitufe kifuatacho kujiunga:

BOFYA HAPA KUFUNGUA ACCOUNT

Jambo la kwanza ni kuhakikisha account yako ya M-Pesa ina balance inayolingana na  kiasi unachotaka ku deposit, waweza kuwa na kiwango chochote kisichopungua KES 200 au Kiwango cha KES kinacholingana na 1 USD

Deposit to forex using mpesa

Jinsi ya kuweka na kutoa pesa Templer Fx kwa Safaricom M Pesa:

  1. Kwa kutumia computer yako, Login kwenye account yako ya TemplerFx
  2. Kwenye menu ya upande wa kushoto, bofya palipoandikwa Finance
  3. Chini yake utaona Deposits, bofya link hiyo.
  4. Kwenye ukurasa utakaofunguka, chagua account unayotaka ku-deposit, na iwapo bado hujatengeneza account, utaambiwa utengeneze account.
  5. Ukishachagua account, bofya sehemu iliyoandikwa Select a payment System
  6. Chagua palipoandikwa IPay Africa
  7. Baada ya hapo utachagua Method of payment
  8. Hapo sasa utachagua M-Pesa Kenya
  9. Bofya/Tick sehemu ya kukubali vigezo na masharti na iwapo ungependa bonus pia.
  10. Bofya kitufe kilichoandikwa DEPOSIT KES XXX 
TemplerFx M-Pesa Deposit

Kwenye page itakayotokea ya kufanya malipo, iwapo upo Tanzania au ncho tofauti na Kenya, utalazimika ku-edit namba yako iliyopo, na kuweka namba yako ya Safaricom, utafanya hivyo kwa kubofya ki-tick kilichoandikwa (I need to change …) kisha utaweka namba yako ya Safaricom bila kuweka code yaani utaanza na  07XXXXXXXX

Ukisha edit namba yako na kuweka namba ya Safaricom, utabofya PAY NOW, na hapo iwapo unatumia Smart Phone, utakuwa Prompted kwenye simu yako kuweka namba ya siri.

TemplerFx M-Pesa Deposit

Iwapo laini yako ya Safaricom ipo kwenye simu isiyo smart (kitochi) basi waweza amua kutumia njia ya zamani kwa kubofya maneno yenye rangi ya brown yaliyoandikwa

I did not get a prompt on my phone. Take me to the previous MPESA payment method

Baada ya hapo, fuata maelekezo yafuata jinsi ya kulipa pesa, na muda huo huo ukishalipa utaona balance yako kwenye account yako ya TemplerFx

Na iwapo bado hujawa na account ya TemplerFX, bofya kitufe kifuatacho kujiunga:

BOFYA HAPA KUFUNGUA ACCOUNT

Related Articles

Kenya, M-Pesa, M-Pesa Kenya, Safaricom, Safaricom M-Pesa

Post navigation

Previous Post: Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4
Next Post: Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania

Comment (1) on “Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa”

  1. Baraka says:
    January 3, 2024 at 4:10 am

    Airtelpesa njia ya forex vp

    Loading...
    Reply

Leave a Reply to BarakaCancel reply

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuBroker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuNovember 29, 2021Admin
Maswali na Majibu kuhusu Biashara ya Forex - HelpMay 23, 2022Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved
%d