Jinsi ya kufanya biashara ya FOREX
Post iliyopita ilikuwa na utangulizi muhimu kuhusu FOREX, kama hujaisoma, waweza bofya kiungo kifuatacho kuisoma:Forex ni nini? Kama tayari una uelewa wa awali wa biashara hii, bofya kiungo kifuatacho ili ujisajiri na broker anayekubalika zaidi East Africa! BOFYA HAPA KUJIUNGA Sasa twende Sokoni. Twende kwa Hatua pia: 1. Forex inafanyika kwa kulinganisha thamani za Sarafu…