Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Category: Real Account

Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex

Posted on June 24, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex
Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex

Makala hii itaenda kukuelimisha jinsi ya kutumia program ya Metatrader 4 au kwa kifupi mt4 kukuwezesha kufanya biashara ya Forex. Metatrader ni program maalum inayotumika kuwezesha ufanyaji wa biashara ya Forex yaani kufungua position, pamoja na kukupatia chart ambazo zitakuwezesha kuona uelekeo au historia ya pair za Forex na pia kukuwezesha kufanya uchambuzi wa pair…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex” »

Demo Account, Meta Trader 4, Real Account

Jinsi ya kucheza forex

Posted on June 5, 2019April 20, 2024 By Admin No Comments on Jinsi ya kucheza forex
Jinsi ya kucheza forex

Bila shaka umefika kwenye post hii baada ya ku search neno jinsi ya kucheza forex lakini inakupasa kufahamu kwamba Forex sio mchezo wa kubahatisha kama ilivyo michezo mingine ya kubahatisha au Ku-bet kama Sportpesa, Biko n.k Forex ni biashara inayohitaji ueledi wa hali ya juu katika kutathmini uelekeo wa masoko  ya fedha za kigeni. Forex…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kucheza forex” »

Brokers, Demo Account, Real Account

Jinsi ya kufungua account Forex

Posted on February 14, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kufungua account Forex
Jinsi ya kufungua account Forex

Jinsi ya kufungua account Forex Baada ya kujifunza jinsi ya kujiunga na Forex, na kufahamu kwamba unapaswa kuanza biashara ya Forex kwa kufanya majaribio kwa kutumia account ya DEMO, sasa ni wakati muafaka wa kujua jinsi ya kujiunga na biashara hii kubwa duniani. Jinsi ya kufungua account Forex Kama hukusoma kuhusu jinsi ya kufungua na…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kufungua account Forex” »

Forex, Real Account

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuBroker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuNovember 29, 2021Admin
Maswali na Majibu kuhusu Biashara ya Forex - HelpMay 23, 2022Admin
Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved