Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Category: Demo Account

Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex

Posted on June 24, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex
Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex

Makala hii itaenda kukuelimisha jinsi ya kutumia program ya Metatrader 4 au kwa kifupi mt4 kukuwezesha kufanya biashara ya Forex. Metatrader ni program maalum inayotumika kuwezesha ufanyaji wa biashara ya Forex yaani kufungua position, pamoja na kukupatia chart ambazo zitakuwezesha kuona uelekeo au historia ya pair za Forex na pia kukuwezesha kufanya uchambuzi wa pair…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex” »

Demo Account, Meta Trader 4, Real Account

Jinsi ya kucheza forex

Posted on June 5, 2019April 20, 2024 By Admin No Comments on Jinsi ya kucheza forex
Jinsi ya kucheza forex

Bila shaka umefika kwenye post hii baada ya ku search neno jinsi ya kucheza forex lakini inakupasa kufahamu kwamba Forex sio mchezo wa kubahatisha kama ilivyo michezo mingine ya kubahatisha au Ku-bet kama Sportpesa, Biko n.k Forex ni biashara inayohitaji ueledi wa hali ya juu katika kutathmini uelekeo wa masoko  ya fedha za kigeni. Forex…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kucheza forex” »

Brokers, Demo Account, Real Account

Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex

Posted on February 14, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex
Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex

Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex Kama tulivyokwisha ona umuhimu wa kuwa na ujuzi wa kutosha kabla hujaanza rasmi ku trade Forex kwa kutumia real account, ni muhimu kuanza na practice account ambayo itakuwezesha kufahamu trend ya soko, na taratibu mbali mbali za ku trade Forex. Forex Demo Account ni nini? Forex…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex” »

Demo Account, Meta Trader 4

Jinsi ya kujiunga na Forex

Posted on February 14, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kujiunga na Forex

Jinsi ya kujiunga na Forex Baada ya kujifunza kuhusu utangulizi wa biashara ya Forex, sasa ni wakati muafaka wa kujifunza jinsi ya kujiunga na biashara hii ya Forex. Iwapo tayari umekwisha pitia maelezo ya awali, ni wakati sasa wa kutengeneza account yako ya Forex. Waweza tengeneza account kupitia Broker maarufu zaidi East Africa na Duniani…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kujiunga na Forex” »

Demo Account, Forex

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa ForexJinsi ya kuchagua broker mzuri wa ForexApril 6, 2020Admin
Vitabu vya ForexMay 23, 2022Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved