Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Author: Admin

Jinsi ya kuweka hela Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka hela Forex

Baada ya kufahamu jinsi ya kutumia M Pesa kuweka hela kwenye account yako ya Forex chini ya broker maarufu East Africa anayefahamika kwa jina la TemplerFX sasa ni wakati wa kujifunza hatua kwa hatua ni namna gani unaweza ukaweka hela kwenye account yako ya Forex. Jinsi ya kuweka hela Forex Zipo namna nyingi za kuweka…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kuweka hela Forex” »

Deposit, M-Pesa, Mastercard, Safaricom, Skrill Tanzania, TemplerFx, Visa

Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex

NOTE: Huduma ya ku deposit na ku withdraw kwa kutumia M-Pesa Tanzania kupitia Broker TemplerFx kwa sasa imesitishwa hadi hapo iPay na Vodacom watakapokamilisha taratibu zilizowekwa na BOT. Huduma hii inaendelea kupatikana kupitia Safaricom M-Pesa Kenya ambapo waweza ku deposit au ku withdraw kwa kuchagua M-Pesa Kenya. Kama bado huna account ya Forex kupitia TemplerFx,…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex” »

Forex, M-Pesa, TemplerFx

Mtaji wa kuanzia Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Mtaji wa kuanzia Forex

Je unahitaji mtaji kiasi gani wa kuanzia biashara ya FOREX? Kama tulivyoona katika mada ya utangulizi kuhusu biashara ya Forex, kwamba Forex ndio biashara kubwa zaidi duniani ambayo ina mzunguko wa dola za kimarekani trilioni 5 kwa siku. Iwapo na wewe ungependa kuwa sehemu ya mzunguko huu wa pesa, huna budi kujifunza vizuri misingi yote…

SOMA ZAIDI “Mtaji wa kuanzia Forex” »

Brokers, Capital, Forex

Jinsi ya kufanya biashara ya FOREX

Posted on January 31, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kufanya biashara ya FOREX

Post iliyopita ilikuwa na utangulizi muhimu kuhusu FOREX, kama hujaisoma, waweza bofya kiungo kifuatacho kuisoma:Forex ni nini? Kama tayari una uelewa wa awali wa biashara hii, bofya kiungo kifuatacho ili ujisajiri na broker anayekubalika zaidi East Africa! BOFYA HAPA KUJIUNGA Sasa twende Sokoni. Twende kwa Hatua pia: 1. Forex inafanyika kwa kulinganisha thamani za Sarafu…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kufanya biashara ya FOREX” »

Forex

Forex ni nini?

Posted on January 31, 2019 By Admin No Comments on Forex ni nini?

FOREX ni biashara ya ubadilishaji wa fedha za kigeni ambayo imeonekana kuwa na mzunguko mkubwa zaidi kuliko biashara yoyote dunianini kwani inazungusha zaidi ya dolla za kimarekani trillion 5 kwa siku. Mtu yoyote anaweza kujifunza biashara ya forex, na kuwa Forex trader mwenye mafanikio. Ili kuwa Forex trader, ni lazima uwe na account ya Forex…

SOMA ZAIDI “Forex ni nini?” »

Forex, Forex ni nini, Jifunze Forex

Posts pagination

Previous 1 2 3

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuBroker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuNovember 29, 2021Admin
Maswali na Majibu kuhusu Biashara ya Forex - HelpMay 23, 2022Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved