Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Category: Meta Trader 4

Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Posted on October 5, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4
Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4

Karibu tena tuendelee kupeana elimu kuhusu mambo mbali mbali yahusuyo biashara ya Forex. Leo tutaenda kuangalia jinsi ya kuweka na kufunga order kwa kutumia programu ya Meta Trader 4 au kwa kifupi MT4 kama ilivyozoeleka. Kama ambavyo tulisoma kwenye makala ihusuyo jinsi ya kutumia MT4 inayopatikana  >> HAPA << leo tutajifunza juu ya namna ya…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4” »

Forex kwa kiswahili, Jifunze Forex, Meta Trader 4, TemplerFx

Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex

Posted on June 24, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex
Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex

Makala hii itaenda kukuelimisha jinsi ya kutumia program ya Metatrader 4 au kwa kifupi mt4 kukuwezesha kufanya biashara ya Forex. Metatrader ni program maalum inayotumika kuwezesha ufanyaji wa biashara ya Forex yaani kufungua position, pamoja na kukupatia chart ambazo zitakuwezesha kuona uelekeo au historia ya pair za Forex na pia kukuwezesha kufanya uchambuzi wa pair…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kutumia Metatrader 4 mt4 ku trade Forex” »

Demo Account, Meta Trader 4, Real Account

Namna ya kufanya biashara ya Forex

Posted on June 21, 2019April 20, 2024 By Admin No Comments on Namna ya kufanya biashara ya Forex
Namna ya kufanya biashara ya Forex

Karibu katika site yetu hii ambapo kama kawaida tunaendelea na mfululizo wa masomo mbali mbali kuhusu namna bora ya kufanya biashara ya Forex kwa faida. Tukumbuke kwamba biashara ya Forex ndio biashara kubwa kuliko zote duniani ambayo ina mzunguko wa zaidi ya trillion 5 za kimarekani kwa siku. Iwapo utafanya maamuzi sahihi, na kuamua kujifunza…

SOMA ZAIDI “Namna ya kufanya biashara ya Forex” »

Beginner, Demo, Forex, Meta Trader 4

Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex

Posted on February 14, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex
Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex

Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex Kama tulivyokwisha ona umuhimu wa kuwa na ujuzi wa kutosha kabla hujaanza rasmi ku trade Forex kwa kutumia real account, ni muhimu kuanza na practice account ambayo itakuwezesha kufahamu trend ya soko, na taratibu mbali mbali za ku trade Forex. Forex Demo Account ni nini? Forex…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kufungua na kutumia DEMO account kwenye Forex” »

Demo Account, Meta Trader 4

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Jinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtajiJinsi ya kuanza biashara ya Forex bila mtajiJuly 20, 2019Admin
Mbinu kuzuia hasara kwenye biashara ya ForexMbinu kuzuia hasara kwenye biashara ya ForexJune 11, 2019Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved