Skip to content
  • About Us
  • Disclaimer
  • Telegram Group
Biashara ya Forex

Biashara ya Forex

Forex Trading in Tanzania and Kenya

  • Home
  • Brokers
  • Vitabu vya Forex
  • Help
  • Toggle search form

Category: M-Pesa

Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu

Posted on November 29, 2021April 20, 2024 By Admin No Comments on Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu

Njia ya kuweka na kutoa ni moja kati ya vigezo vikubwa ambavyo trader yoyote wa forex huvizingatia pale anapofanya maamuzi ya kuanza kujiunga na broker fulani. Urahisi wa kuweka na kutoa ni kigezo kikubwa ambacho kila mmoja hukiangalia, ni mara nyingi tumeshuhudia brokers wengi wakiwasumbua wateja wao wakati wa kutoa pesa zao. Kwenye post hii,…

SOMA ZAIDI “Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu” »

AirTel Money, Best Forex Brokers in Kenya, Best Forex Brokers in Tanzania, Biashara ya Forex, Exness, Exness Tanzania, M-Pesa, TigoPesa

Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Posted on January 6, 2020June 7, 2025 By Admin 1 Comment on Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa

Iwapo una laini ya Safaricom na unatumia huduma ya M-Pesa Kenya, na unataka ku deposit pesa kwenye account yako ya TemplerFx, fuata mtiririko huu ili kufahamu jinsi ya ku deposit kiasi cha pesa upendacho. Kama bado huna account ya Forex kupitia TemplerFx, bofya kitufe kifuatacho kujiunga: BOFYA HAPA KUFUNGUA ACCOUNT Jambo la kwanza ni kuhakikisha…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa” »

Kenya, M-Pesa, M-Pesa Kenya, Safaricom, Safaricom M-Pesa

Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker

Posted on September 11, 2019May 26, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker
Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker

Forex imeendelea kuwa biashara yenye mzunguko mkubwa wa fedha kuliko biashara nyingine zozote duniani. Kwa bahati nzuri biashara hii haina mipaka baina ya nchi na nchi na mtu yoyote anaweza kujifunza na kuanza biashara ya Forex na kuweza kutimiza ndoto zake kwa kuishi maisha yenye uhuru wa kiuchumi. Ingawa ukweli ni kwamba, Forex sio biashara…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kupata dola 30 za kianzio kutoka TickMill Forex Broker” »

Free 30 USD, M-Pesa, TickMill

Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Posted on May 19, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania
Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania

Katika post hii tutaona njia unayoweza kuitumia kuhamisha pesa kutoka Skrill kwenda M-Pesa Tanzania. Skrill ni moja kati ya huduma nzuri kabisa za kutuma, kupokea pesa na kufanya malipo mtandaoni. Kama bado hujajiunga na huduma hii, bofya kitufe kifuatacho kufungua account Skrill. FUNGUA ACCOUNT SKRILL  Au waweza soma post hii kuhusu jinsi ya kufungua account…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kutoa pesa Skrill kwenda M-Pesa Tanzania” »

M-Pesa, Skrill, Skrill Tanzania, TemplerFx

Jinsi ya kufungua account Skrill

Posted on May 19, 2019May 17, 2022 By Admin No Comments on Jinsi ya kufungua account Skrill
Jinsi ya kufungua account Skrill

Skrill ni huduma nzuri sana ya pesa ambayo watu wengi wa Forex hupenda kuitumia na huduma hii ni mbadala mzuri kwa PayPal. Waweza tumia Skrill kutuma na kupokea pesa kwa watu mbali mbali duniani, na kufanya malipo mbali mbali pamoja na ku deposit pesa kwenye account ya Forex ambapo brokers mbali mbali hutumia njia hii…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kufungua account Skrill” »

M-Pesa, Skrill, Skrill Tanzania

Jinsi ya kuweka hela Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kuweka hela Forex

Baada ya kufahamu jinsi ya kutumia M Pesa kuweka hela kwenye account yako ya Forex chini ya broker maarufu East Africa anayefahamika kwa jina la TemplerFX sasa ni wakati wa kujifunza hatua kwa hatua ni namna gani unaweza ukaweka hela kwenye account yako ya Forex. Jinsi ya kuweka hela Forex Zipo namna nyingi za kuweka…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kuweka hela Forex” »

Deposit, M-Pesa, Mastercard, Safaricom, Skrill Tanzania, TemplerFx, Visa

Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex

Posted on February 13, 2019 By Admin No Comments on Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex

NOTE: Huduma ya ku deposit na ku withdraw kwa kutumia M-Pesa Tanzania kupitia Broker TemplerFx kwa sasa imesitishwa hadi hapo iPay na Vodacom watakapokamilisha taratibu zilizowekwa na BOT. Huduma hii inaendelea kupatikana kupitia Safaricom M-Pesa Kenya ambapo waweza ku deposit au ku withdraw kwa kuchagua M-Pesa Kenya. Kama bado huna account ya Forex kupitia TemplerFx,…

SOMA ZAIDI “Jinsi ya kutumia M-Pesa kuweka na kutoa fedha katika Forex” »

Forex, M-Pesa, TemplerFx

ZINAZOSOMWA ZAIDI

Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom TanzaniaJanuary 7, 2020Admin
Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuBroker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simuNovember 29, 2021Admin
Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4Jinsi ya kuweka na kufunga order ya Forex kwa kutumia MT4October 5, 2019Admin

MAKALA MPYA

  • Broker wa Forex anayeruhusu kuweka na kutoa pesa kupitia mitandao ya simu
  • Jinsi ya kuchagua broker mzuri wa Forex
  • Jinsi ya ku trade Volatility Index kwa kutumia Binary
  • Jinsi ya kutuma pesa kutoka Safaricom Kenya kwenda Vodacom Tanzania
  • Jinsi ya kudeposit Templerfx kwa kutumia Safaricom M-Pesa
Copyright © 2022 - All Rights Reserved